Ilani ya Faragha
Mara ya Mwisho Ilisasishwa: 01.08.2019
Upfield ni kiongozi wa kimataifa katika lishe inayohusiana na mimea na historia na wasifu wa chapa, ikiwemo Flora, Rama, Becel, Blue Band, Country Crock, I Can’t Believe it’s not Butter na ProActiv.
Tunajua kuwa unajali kuhusu data yako ya binafsi na jinsi inavyotumiwa na tunataka uamini kuwa Upfield hutumia data yako ya binafsi kwa uangalifu. Ilani hii ya Faragha itakusaidia kuelewa data ya binafsi tunayokusanya, sababu tunayoikusanya na jinsi tunavyoitumia.
Unaposoma Ilani yetu ya Faragha, tafadhali fahamu kuwa inatumika kwa Upfield B.V. na kampuni zote za Upfield Group ("Upfield").
Upfield Europe B.V. ni mdhibiti wa data wa data ya binafsi tunayokusanya kwenye tovuti ya www.upfield.com. Upfield Europe B.V. au asasi ya karibu ya Upfield itakuwa mdhibiti wa data wa data ya binafsi tunayokusanya kwenye tovuti mahususi ya chapa ya karibu (kwa mfano, https://www.flora.com/ au https://www.fruitdor.fr/).
Tafadhali chukua muda ujifahamishe desturi zetu za faragha na utufahamishe ikiwa una maswali yoyote kwa kututumia barua pepe au kuwasilisha ombi kupitia fomu ya “Wasiliana Nasi” kwenye tovuti yetu.
Ikiwa unataka kujua ni Maelezo Yapi ya Kibinifasi / Data ambayo Upfield inayo kukuhusu, tafadhali wasilisha ombi hapa.
Ikiwa unataka Upfield iondoe Maelezo Yote ya Kibinafsi / Data ambayo inawezekana kuwa wako nayo kukuhusu, tafadhali wasilisha ombi hapa.
Ilani hii ya Faragha inatumika kwa data ya binafsi iliyokusanywa na Upfield kuhusiana na bidhaa tulizo nazo na matumizi ya tovuti hii.
-
Ni data gani ya binafsi inakusanywa??
-
Ukusanyaji wa “kategoria maalum za data ya binafsi”
-
Tunatumia data yako ya binafsi kwa madhumuni gani?
-
Msingi wa sheria kwa ajili ya kuchakata data yako ya binafsi
-
Kuunda Wasifu
-
Ufanyaji uamuzi kiotomatiki
-
Data yako ya binafsi itashirikiwa na nani?
-
Uhamishaji wa data kimataifa
-
Tunalinda vipi data yako ya binafsi?
-
Tunaweka data yako ya binafsi kwa muda gani?
-
Haki zako ni zipi?
-
Kuwasiliana na Upfield
-
Ni vipi tunavyohakikisha kuwa ilani hii imesasishwa?
-
Masharti au ilani za ziada